Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya
mtihani wa kidato cha sita mwaka huu pamoja na Maofisa elimu wa Mikoa
wamepewa muda wa mwezi mmoja ili kubaini chanzo cha shule zao kuwa na
ufaulu hafifu.
Baada ya kubaini chanzo hicho cha ufaulu hafifu wanatakiwa kutoa
taarifa kwa katibu mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa-TAMISEMI.
Miongoni mwa shule
↧