JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa
milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma
(19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono aina ya
Gurnet saba, risasi sita za shotgun, baruti, mapanga mawili na bisibisi
moja.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mkurugenzi wa
Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI),
↧