STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya
wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya
waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.
“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake,
huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani
kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa
↧