Polisi wa kituo kidogo cha polisi Usalama kilichopo maeneo ya Bunju A
Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana usiku walilazimika
kufyatua mabomu ya machozi pamoja na risasi kutawanya kundi kubwa la
wananchi waliokuwa wamekizunguka kituo hicho kwa madai ya kutaka
kuwachukuwa watuhumiwa wanaoadaiwa kukutwa na shehena ya viungo vya
binadamu.
Tukio hilo lililoibua hofu kubwa
↧