WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Erikisongo wilayani Monduli
wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na
moto leo asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ulizuka
wakati wanafunzi hao wakiwa darasani. Hakuna mtu yoyote aliyedhurika
lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea.
Kikosi cha Zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati
↧