Kundi kubwa la vijana wanaojiita wadudu wa dampo limeibuka mjini Dodoma
na kufanya matukio ya uhalifu huku likihusishwa na mauaji ya watu wanne
yaliyotokea hivi karibuni.
Uwepo
wa kundi hilo umezua hofu na taharuki kwa wakazi wa mji huo hasa
nyakati za usiku kutokana na wingi wao huku wakitembea na silaha
mbalimbali za jadi wakati wakitekeleza matukio ya uhalifu.
Kundi hilo lenye
↧