Katibu wa
Bunge Maalumu la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari
mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na ushauri wa kikao cha kamati ya
Mashauriano ya Bunge maalum la katiba kilichofanyika jana julai,24,2004
katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini
Dar.Mh. Yahya alisoma
↧