Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro bado imeendelea kuahirisha kesi inayowakabili watuhumiwa watatu wanaokabiliwa na shitaka la kusababaisha kifo cha mtoto Nasra Rashidi (4) kwa madai ya kutokamilika upelelezi.
Watuhumiwa hao ambao ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi (47) mkazi wa Lukobe pamoja na wanandoa Mariam Said (38) na Mtonga Omari (30) wote wakiwa ni wakazi wa mtaa
↧