Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani
na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao
sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa).
Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye
CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo
↧