Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF),
Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza
kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)
kutorejea kwenye awamu ya pili ya vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
Kakobe pia alimtupia lawama Rais Jakaya Kikwete
akisema hotuba yake ya kufungua Bunge hilo ndiyo chanzo cha kuvuruga
↧