Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali
sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya
magharibi kuinyima msaada.
Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu
Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika
kuingilia kati.
Mahakama ilisema kuwa mswada huo kabla ya
kuidhinishwa kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi
↧