Katika hali ya kushangaza na kusikitisha sana,
kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa
kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha
kibinadamu.
Kikongwe huyo alikutwa na Uwazi hivi karibuni nyumbani kwake,
Chanika wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya majirani kusema
kwamba wamekuwa wakimshuhudia akipata mlo huo kwa karibu mwaka
↧