Mwanamke mmoja aliyejitambulisha
kwa jina la Cecilia Hamis (pichani), mkazi wa Majoe Mjimpya Relini
jijini Dar es Salaam amemlalamikia mumewe aliyemtaja kwa jina la Hamis
Juma kwamba ametembea na mbwa wao mweusi hadi kumpa mimba.
Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake, mwanamke huyo alisema alibaini hilo wiki mbili zilizopita.
“Nililigundua hilo wiki mbili
↧