Bodi ya mkopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB) inashughulikia
tatizo la wanafunzi wanaokwenda kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo
ikiwa na baada ya kulalamikiwa na jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya Juu
nchini (TAHLISO).
Akizungumza
na East Africa Radio , Mkurungenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na
Mawasiliano wa Bodi hiyo, Bw. Cosmas Mwaisobwa amesema wanatambua
kuchelewa kwa
↧