Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa
Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth
Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material) huku akiweka
wazi sifa kibao alizonazo.
Kiba ambaye hivi karibuni ameibua mijadala mingi katika mitandao ya
kijamii, usafiri wa umma na kwenye baa juu ya ujio wake mpya akisemekana
kurudia kiti
↧