Msanii aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kundi la Kaole Nuro Nassoro 'Nora' ameamua kufunguka baada ya tuhuma nzito iliyokuwa inamkabili ya kudaiwa kuchoropoa mimba ya msanii mwenzake.....
Nora anadaiwa kuwa katika uhusiano na mmoja wa wasanii wa siku nyingi huku wiki za hivi karibuni akifululiza kwenda hospitali na wambeya wakadai ni
↧