Mkazi wa Mbagala Zakhiem, Mwanaharusi Hamis amepoteza kiganja
chake cha mkono wa kulia baada ya kulipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa
ni bomu lililorushwa na polisi wakati wakitawanya wananchi.
Mwanaharusi alilipuliwa na bomu hilo Agosti Mosi 2014, saa 3:00 usiku alipokuwa anatoka ndani kwenda msalani.
Akizungumza na mwandishi jana katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili, Wodi ya
↧