Chama cha Mapinduzi -CCM kimedai kuwa Mwenyekiti wa tume ya
mabadiliko ya katiba Jaji Joseph Warioba na baadhi ya wajumbe wa tume
yake wamemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa chama hicho rais Jakaya
Kikwete
Hatua hiyo imefikiwa kutokana na Mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya
mwalimu Nyerere ambao umefanyika Jumatatu wiki hii na kwamba kupitia
mdahalo huo Jaji Warioba na wajumbe wa
↧