Basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake
kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua moto asubuhi ya August 09 likitokea
Mtwara kuelekea Dar es salaam.
Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote
juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa
wa Lindi.
↧