Msanii wa muziki wa kizazi kipya Recho amesema kuwa pamoja na umaarufu wake anahitaji sana kurudi shule ili aweze kuongeza uwezo wake wa kuimba...
Recho alisema kuwa anaamini baada ya kutimiza ndoto yake ya kurudi shule mambo yake mengi yatakuwa mazuri kwani hata muziki wake utazidi kufika kimataifa ikiwa ni pamja na kuimba nyimbo ambazo
↧