Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane
baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba Sita
inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu),
Stephen Wassira.
Habari kutoka ndani ya kamati hiyo inayofanyia
vikao vyake katika moja ya kumbi za Dodoma
↧