Rais wa Malawi Peter Mutharika amemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt Jakaya Kikwete kuitembelea nchi hiyo kwa ziara ya
kiserikali na kutaka kumalizika kwa mgogoro wa mpaka wa ziwa Nyasa kati
ya nchi hizo mbili.
Kulingana
na taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu jijini Dar
es salaam jana imesema Rais Mutharika amemualika Rais Kikwete kwa dhana
ya
↧