Mwanasiasa
mkongwe na mjumbe wa Halmashauri Kuu (CCM), Dk. Raphael Chegeni ,
ameungana na wadau wengine wakiwamo wanasiasa na wanaharakati
mbalimbali kutaka Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe.
Ametilia mashaka mchakato wa katiba mpya unaoendelea kujadiliwa bungeni
Dodoma, akieleza kuwa hautaweza kupata mariadhiano bila kuwagawa
Watanzania na kushauri bunge hilo kusimama kwanza
↧