Muigizaji wa kike wa Nigeria mwenye umaarufu mkubwa usioambatana na
'skendo', Omotola ameeleza sababu zinazomfanya asiwe na habari chafu
kwenye vyombo vya habari.
Kikubwa alichokieleza ni uamuzi wa kuishi maisha sahihi na kwamba inaanza na tabia halisi ya mtu mwenyewe.
“Daima watu wataanza kufikiria vitu kuhusu wewe na inaweza kuwa
inaumiza, hasa pale unapochagua kuishi maisha
↧