Ndugu Joseph
Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza
kwa zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara.
*************
Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa
Watu kwa wananchi na wakazi wa mkoa wa Mtwara, zoezi ambalo litadumu
↧