Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro
baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka
jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu.
Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni
ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye anayehusishwa
na msala huo uliotokea nyumbani kwake maeneo ya Mtaa wa
↧