Abiria waliokuwa wanaelekea
mkoani Mwanza kutoka Dar na gari la Princes Shabaha jana walikwama kwa
saa sita baada ya basi hilo lenye namba za usajili T105 AVX kuharibika
maeneo ya Kibamba jijini Dar es Salam na kusababisha usumbufu miongoni
mwa abiria hao.
Abiria wakiwa eneo lilipoharibika basi hilo pasipo kujua hatima yao.
↧