Waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Fredrick Sumaye amependekeza
kusitishwa kwa mjadala wa katiba mpya unaoendelea mjini Dodoma kwa kuwa
inaonekana dhahiri kuwa si muda muafaka wa kupata katiba mpya kwa sasa.
Amesema kusitishwa kwa mjadala huo kutatoa fursa kwa watanzania
kujipa muda zaidi wa kutafakari ili kufanikisha upatikanaji wa katiba
muafaka kwa wakati unaofaa.
Kauli
↧