JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya
viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
waliotajwa na kada wa zamani wa chama hicho, Habibu Mchange, kujihusisha
kupanga na kutekeleza njama zenye mwelekeo wa ugaidi.
Limesema tuhuma zilizotolewa na Mchange zimelishtua, hivyo zinapaswa
kuchukuliwa kwa uzito wa hali ya juu, unaohusisha
↧