Majaji
wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi
iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents
(TMT) wakati ilipokuwa ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi
wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati
ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo
Roy Sarungi.
Mahosti
wa
↧