Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya Diamond kufunguka kuwa Wema anapenda starehe na ana mashoga wapenda anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.
Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema
↧