Msanii Johari Blandina 'Chagula' ambaye ni star mkongwe Swahiliwood amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza muonekanio wake na kuwa kama kijana licha ya umri wake kuwa mkubwa tofauti na baadhi ya waigizaji wenzake wa kike ambao hujiachia na kuonekana wazee licha ya umri wao kuwa mdogo.
Akizungumza na Filamucentral Johari alisema:
"Wasanii wa kike wengi ni watoto wadogo lakini kwa
↧