MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete,
ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma
kesho.
Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema moja ya
ajenda kubwa inayoweza kutawala kikao hicho ni mwenendo wa Bunge
Maalumu la Katiba ambalo limesusiwa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa).
Kwa muda sasa
↧