BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za
Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini
ya kocha, Marcio Maximo.
Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea Vital’o ya
Bujumbura, Burundi ameweka wazi kwamba binti huyo, Irene Uwoya ambaye ni
mkewe ni shabiki wa Jangwani na amekua akimshawishi kila mara kwamba
atue Jangwani ili awe naye karibu
↧