MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freemon Mbowe,
ameshindwa kuhudhuria Mahakamani kutoa ushahidi wake katika kesi
inayomkabili, huku wakili wake akishindwa kufika mahakamani hapo.
Mbowe ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai, anakabiliwa na mashtaka ya
kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Kesi hiyo iliyoko katika Mahakama ya
↧