Kundi
la Tembo limevamia makazi ya wananchi wa kata ya Tingatinga
wilayani Longido mkoani Arusha na kusababisha kifo cha mtu mmoja
na wengine kujeruhiwa.
wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa aliyeuawa na
Tembo hao ni mtoto wa miaka Tisa aliyetajwa kwa jina la Fred
Joseph na Bw Paulo Lukasi ambaye amejeruhiwa na kulazwa
hosipitalini.
↧