Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika kupiga kura katika uchaguzi mkuu, isipokuwa kadi zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius Mallaba alifafanua jana jijini Dar es Salaam kwamba ni makosa kudhani kuwa vitambulisho vinavyotolewa na Nida, vinaweza kutumika kupiga kura.
“Haiwezekani
↧