Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake
kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila
Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber 'JB' akiwa kifua wazi akipiga
kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za
mchana na kwamba hatampata.
“Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni
↧