Maiti ya mtoto mchanga ikiwa haina kichwa wala kifua imekutwa ikiwa imefukiwa na mtu asiyejulikana kwenye pagala la nyumba.
Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma, Mihayo
Misikhela zimesema tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 3 subuhi
Lizaboni.
Kamanda Misikhela alisema inadaiwa siku ya tukio mwili wa mtoto huyo
uligunduliwa na mafundi washi waliokuwa
↧