Utaratibu mpya wa Hazina kulipa mishahara moja kwa moja kwa watumishi wa halmashauri, umefichua ‘mchezo mchafu’ wa watumishi waliofariki na watoro kulipwa mishahara.
Akisoma risala ya washiriki mafunzo ya utekelezaji wa awamu ya pili ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwenyekiti wa washiriki hao, Ramadhani Chomolla, alisema Serikali imepata
↧