Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema
kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa
lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha sana.
Akiongea na Times Fm, Manyaunyau amewataka wanasiasa hao
kutofanya kwa siri kwa kuwa anachokifanya yeye ni ufundi wa jadi ambao
nchi nyingine unajulikana mwanasiasa huweka wazi
↧