Wafanyabisahara jijini Mwanza leo wameanza mgomo wa kutofungua maduka yao kwa siku zisizojulikana kwa kile walichodai Mkurugenzi
wa jiji hilo, Hassan Hida amekataa kukutana nao kwa lengo la kujadili
changamoto zinazowakabili.
Mgomo huo utakuwa wa pili kufanyika baada
ya mara ya kwanza kutokea wakati wafanyabiashara hao wakigomea matumizi ya mashine za
Stakabadhi za Elekitroniki (
↧