Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni.
Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia.
Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba
amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea
mabadiliko.
“Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia
vilevile, na wewe sio mtu wa kwanza
↧