Ripota toka nchini Kenya Julius Kipkoech anaripoti kwamba nchi hiyo
inarejea kwenye headlines kuhusu maswala ya kubuni sheria za kipekee
ambapo sasa bunge la kitaifa linapanga kujadili sheria inayopendekezwa
kwamba raia yeyote wa kigeni anayepatikana akishiriki uhusiano wa jinsia
moja ahukumiwe kupigwa mawe hadharani hadi kufa na kama ni raia wa
Kenya basi ahukumiwe kifungo cha maisha
↧