Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mansour Yusuph Himid akiwa Makao Makuu ya Polisi Zanzibar
*****
MAHAKAMA ya Mkoa Vuga, imemwachia kwa dhamana aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Mansour Yussuf Himid ambaye anakabiliwa na makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha, risasi za bastola na gobore (marisau).
Jaji wa Mahakama Kuu ya
↧
Hatimaye Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Mansour Yussuf Himid Apata Dhamana
↧