Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro
linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson
Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake wa kuzaliwa,
Mathias kisha kuondoka nacho kwenda kwa mganga kwa kile kilichodaiwa ni
kufanyiwa dawa ili awe bilionea.
Tukio hilo ambalo kwa sasa ndiyo gumzo mkoani Morogoro lilijiri usiku wa
Agosti 3, mwaka huu katika mashamba
↧