Kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua mizigo ya Swissport, imechukua sura mpya baada ya mshitakiwa Hashim Idd (49) kudai amefanyiwa vitendo vya unyama alipokuwa anachukuliwa maelezo na Polisi.
Hata hivyo, Mahakama ya Wilaya ya Ilala imepokea kama kielelezo maelezo ya onyo ya mshtakiwa huyo baada ya kukataa maelezo yaliyotolewa mahakamani
↧