Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa
kitafanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua
dhidi ya Waziri mkuu Mizengo Pinda iwapo matamshi yake ya
kutangaza nia ya kuwania Urais kwenye uchaguzi mkuu hapo
mwakani yaliambatana na vitendo vya kufanya Kampeni.
Awali CCM
kiliwahi kuwaonya baadhi ya vigogo kadhaa ambao walionyesha kuanza
kufanya kampeni mapema ambapo
↧