Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel
Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na
na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima...
Flora
amesema hayo leo alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa
EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya
Jumatano kuanzia saa Sita
↧