Kwa mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na
mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito
uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi.
Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na
Televesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana uhusiano wowote
wa mapenzi licha ya
↧